Hii Ndio Post ya kwanza ya mtumiaji wa Jamvi forum
Started 3 days ago by Lucas Swahili in General Talk
BEING RIDHI replied 3 days ago
Wakuu sio kwa ubaya lakini kuna jamaa anaitwa "Jawed" youtube alifanikiwa kuwa mtu wa kwanza kupost youtube na video yake inaenziwa mbaka leo. basi hii post...
Body
Wakuu sio kwa ubaya lakini kuna jamaa anaitwa "Jawed" youtube alifanikiwa kuwa mtu wa kwanza kupost youtube na video yake inaenziwa mbaka leo. basi hii post siku moja tutaienzi🤣🤣🤣🤣🤣.
Anyways nawasalimu wakuu. Leo ni alhamisi Tulivuuuuuuu ya michuziii😅😅.
Tags: Wakuu
2 Replies